MAAFALI YA KWANZA YA CHUO CHA BIBLIA, KANDA YA TABORA.

Maafali ya kwanza ya chuo cha Biblia, kanda ya Tabora (Tabora Bible school). Maafali hayo yalifanyika dayosisi ya Tabora leo tarehe 25 Januari 2019, mgeni rasmi akiwa Ask Silas M. Kezakubi. Wanafunzi 28 walihitimu mafunzo yao katika awamu ya kwanza ya maafali ya chuo hicho. Neno Kuu lilitoka katika Kitabu cha Isaya 6.8 "KISHA NIKASIKIA SAUTI YA BWANA , AKISEMA NIMTUME NANI, NAYE NI NANI ATAKAYEKWENDA KWA AJILI YETU? NDIPO NILIPOSEMA, MIMI HAPA, NITUME MIMI."

You must sign in to comment.Click Here to Sign In or Here to Register
Comments
    No comments found