Uzinduzi wa Mpango Mkakati wa AICT

Kanisa la Africa Inland Church of Tanzania (AICT) leo tarehe 30 Juni, limefanya uzinduzi wa mpango mkakati katika kanisa kuu la AICT Makongoro. Kabla ya tukio hilo la kihisitoria, kulitangulia na vikao vya baraza la utendaji kwa siku mbili na kisha kufuatia kwa Sinodi kuu ya kanisa kwa siku tatu. Mpango mkakati huu umezinduliwa na Askofu Mkuu wa AICT, na viongozi mbalimbali wa kanisa. Pia kulikuwa na viongozi wa kiserikali ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza aliwakilishwa na Mkuu wa wilaya katika uzinduzi wa mpango mkakati. 

You must sign in to comment.Click Here to Sign In or Here to Register
Comments
    No comments found