//social-icons

SINODI KUU YA AICT 2021

Posted on 23/09/2021 at 09:46

Sinodi Kuu ya AICT ilikaa kuanzia tarehe 8 mpaka 10 Septemba 2021 katika Kanisa la AICT Buzuruga, Mwanza. Sinodi ambayo ilikuwa maalumu kwa kupiga kura kupitisha mapendekezo mapya ya kuingizwa kwenye katiba ya Kanisa. Mbali na kupiga kura pia wajumbe wa mkutano walijadili taarifa ya utendaji ya Askofu Mkuu, Katibu Mkuu pamoja na taarifa ya fedha. 

Post Your Comment

You must sign in to comment.Click Here to Sign In or Here to Register