-
Bible Quotes
Yesu kama kielelezo yeye mwenyewe ni neno ndani ya neno anamshinda shetani (Luka 4:1-12).
-
Bible Quotes
Neno la Kristo likae kwa wingi ndani yetu (Wakolosai 3:16).
-
Bible Quotes
Tazama ilivyovema ndugu wakae pamoja kwa umoja inavyopendeza
-
Bible Quotes
Yeremia 33:3 Niite nami nitakuitikia na kukuonyesha mambo magumu unayoyajua na usiyoyajua.
-
Bible Quotes
Kwa maana jinsi hii mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa mwanawe wa pekee ili kila mtu amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele.
-
Bible Quotes
Mimi ndimi mchungaji mwema, mchungaji mwema hutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo.
-
Bible Quotes
Jesus said,am the way the truth and the life and no one goes to the father except through me
-
Bible Quotes
For God so loved the world that he gave us his only son that whoever believes in him should not perish but have everlasting life