• MAONI YA KATIBA MPYA YA AICT

NB:Your comments on any of the topics below shall not be displayed to the public
Maoni 5

Baada ya kazi zetu hapa duniani, Mungu hutupumzisha na miili yetu hurudi mavumbini. Baadhi ya viongozi wanazikwa kando kando ya majengo ya makanisa na wengine zehemu zingine. Toa maoni yako ni wapi viongozi wazikwe bila kuonyesha tofauti hizo.

Maoni 7

Kwa yule anayekubali uhamisho wa Maaskofu, tafadhari pendekeza njia za kufanya uhamisho huo.

Maoni 10

Kama wewe maoni yako ni maaskofu kupewa uhamisho, unaona ni muda gani wa chini kwa Askofu kuwa kwenye Dayosisi moja na muda gani ni wa juu?

Maoni 5

Kwa utaratibu wa kanisa, ni wainjilisti na wachungaji tu ndiyo hupewa uhamisho. Kwa maoni yako, je na Maaskofu wapewe uhamisho?

Maoni 4

Katika kuimarisha kanisa ambalo ni mwili wa Kristo, sasa hivi tumo katika mchakato wa kuirejelea Katiba. Kwa maoni yako, ni vigezo gani vitumike katika kumteua mwinjilist kuwa Mchungaji?

Maoni 43

Mpendwa Mkiristo, ni vigezo gani vitumike kumchagua Mchungaji kuwa Askofu wa AICT?

Maoni 41

Ndugu Mkiristo ungependa katiba yetu mpya ya AICT, iwe na kifungu gani ambacho kitasaidia kujenga misingi imara ya Kanisa letu.

Categories