Pastor Jacob Joash Ocholla

Jacob Joash Ocholla profile Pastor

  • Full names:
    Jacob Joash Ocholla
  • Church:
    Majengo-Kahama
  • Pastorate name:
    Majengo-Kahama
  • Diocese name:
    SHINYANGA
  • Date Of Birth:
    10/4/1974
  • Married to:
    Rebecca Charles
  • Joined Pastorship in:
    22/2/2009

Biography

Mimi jacob joash ochola nilizaliwa katika kijiji cha Izumachele wilayani geita ,mkoa wa geita, baada ya kumaliza elimu ya msingi mwaka 1989.Nilijiunga  na chuo cha biblia cha Katungulu mwaka 1996-2000. Baada ya kuhitimu masomo ya chuo cha biblia nilianza kumtumikia Mungu kama mwinjilisti katika maeneo mbalimbali kama vile Kalibeze sengerema, Utegi Mara, Sirari na Musoma, na mwaka 2008  nilikwenda chuo cha uchungaji cha Bwiru Mwanza .Nina mke na watoto wanne(4), wakike wawili na wakiume wawili.

Posts

    No posts made yet by this leader

Photos

Mchungaji Paul Mabula Kengele akiwa na mke wake.