Pastor Paul Doto Kasheto

Paul Doto Kasheto profile Pastor

 • Full names:
  Paul Doto Kasheto
 • Church:
  Nyasho
 • Pastorate name:
  Musoma
 • Diocese name:
  MARA NA UKEREWE
 • Date Of Birth:
  1/7/1966
 • Married to:
  Elizabeth Erasto
 • Joined Pastorship in:
  20/11/1995

Biography

Nilianza kazi ya bwana mwaka 1985,nilipomjua Yesu kuwa ni bwana na mwokovu wangu toka katika kijiji cha Jimondoli  mkoa wa shinyanga, chuo cha biblia Katungulu 1991, NTC 2004, uinjilisti-Kibara,uchungaji-Majita,Kazilankanda 2004-2008, Nansio2008-2014, Musoma 2014 makamu (mch msaidizi wa askofu-MMD), nina watoto wanne ,Daniel,Erasto,Tezira na Dorice.

Posts

  No posts made yet by this leader

Photos

Mchungaji Paul Mabula Kengele akiwa na mke wake.