Pastor Emmanuel Machibula

Emmanuel Machibula profile Pastor

 • Full names:
  Emmanuel Machibula
 • Church:
  Bweri
 • Pastorate name:
  Bweri
 • Diocese name:
  MARA NA UKEREWE
 • Date Of Birth:
  25/10/1962
 • Married to:
  Kefleni Jihada
 • Joined Pastorship in:
  20/10/1997

Biography


Nilisoma chuo cha biblia Katungulu mwaka 1988-1991, nilfanya kazi ya uinjilisti katika local church ya kigogoto pastorate ya Katungulu dayosisi ya Geita mwaka november 1991-1997. Nilisoma chuo cha uchungaji tarehe 1-30/5/1997,nilifanya kazi ya uchungaji katika pastorate ya Kitengule dayosisi ya mara na ukerewe november 1997-2006.Nimesoma chuo cha theologia cha Nassa August 2006-july 2010. Nimewahi kuwa mwenyekiti idara ya vijana ya dayosisi ya Mara na Ukerewe mwaka 1999- Julai 2006. Nimewahi kuwa mratibu idara ya vijana dayosisi ya Marana Ukerewe september 2010 july 2012. Katibu mkuu wa dayosisi ya Mara na Ukerewe tangu Agosti 2012 sasa. Nimewahi kuhudhuria mafunzo mbalimbali ikiwa ni pamoja na bible tarining centerr for pastors miaka miwili. Timothy leadership training (TLT) MIAKA miwili.Nimewahi kuhudhuria makongam,ano ya kimataifa kama vile (TEA) THEOLOGICAL EDUCATIO IN AFRICA nchini Kenya mara mbili na nchini Uganda mara mbili.

Posts

  No posts made yet by this leader

Photos

Mchungaji Paul Mabula Kengele akiwa na mke wake.