Ufunguzi wa Kanisa la kiinjilisti la Kalunde lilifunguliwa na Askofu Mkuu Silasi Kezakubi tarehe 12/5/2013. Kanisa hili lilianzishwa na Mchungaji Joseph Ipimilo wa Pastorati ya Ipuli Tabora Mjini. Kanisa la Kalunde lipo Uyui nje kidogo ya Tabora mjini.