//social-icons

KIKAO CHA MPANGO MKAKATI WA AICT photos

KIKAO CHA MPANGO MKAKATI WA AICT
Baba Askofu Mkuu akitoa neno la ufunguzi wa kikao. no caption Katibu Mkuu Kiongozi akitoa muelekeo wa kanisa kwa wajumbe wote wa kikao. Wajumbe wakiwa ndani ya kikao. Wajumbe wakimsikiliza Katibu Mkuu kiongozi.

Kikao hiki kinafanyika kuanzia leo tarehe 17/12/2018 mpaka tarehe 19/12/2018. Dhumuni la kikao hiki ni kuliwezesha kanisa kuweza kupata mpango mkakati ambao utalifanikisha kanisa katika kutimiza malengo yake kiufanisi zaidi na kwa ushirikiano kutoka ngazi ya juu mpaka ya chini. Kikao hiki kinachoongozwa na Baba Askofu Mkuu Mussa Magwesela, pamoja na ofisi ya Katibu Mkuu kiongozi Mch. Josephales Mtebe,dayosisi zote za AICT pamoja na idara zote kwa ujumla.