//social-icons

KONGAMANO LA MAOMBI KITAIFA photos

KONGAMANO LA MAOMBI KITAIFA
No photos uploaded yet to this album
Kongamano la maombi la tatu kitaifa ilifanyika kuanzia tarehe 26 Julai mpaka tarehe 1 Agosti 2021 katika Kanisa la AICT Buzuruga, Mwanza. Watu mbalimbali kutoka Dayosisi zote walihudhuria. Walimu waliofundisha masomo katika Kongamano hili ni Askofu Mkuu Mussa Magwesela, Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Pwani Charles Salalah, Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Mara na Ukerewe Dkt. Peter Kitula. Walkmu wengine ni Askofu wa Dayosisi ya Mara na Ukerewe Peter Phares Kissena na Mwinjilisti Genoveva Mikomangwa.