//social-icons

Timothy B. Mpanilehi

Pastor Timothy B. Mpanilehi
 • Full names:
  Timothy B. Mpanilehi
 • Position:
  general secretary
 • Church:
  KAMBARAGE
 • Pastorate name:
  Kambarage
 • Diocese name:
  SHINYANGA
 • Date Of Birth:
  20/6/1982
 • Married to:
  Edina Wilson Majige
 • Joined Diocese in:
  2015

Kwa neema ya Mungu nimezaliwa katika familia ya kichungaji. Nilianza huduma katika idara ya vijana na uimbaji wa kwaya katika kanisa la AICT-Bwiru, makongoro misasi na Musoma. Nilienda masomo ya Theologia Nassa (Nassa theological college)-2006. Mara baada ya masomo ya sekondari katika shule ya sekondari ya Kitangiri, kituo changu cha kwanza kilikua LTC ya Nzega Tabora kisha pastoreti ya Ipuli kama mchungaji.Nikiwa Tabora nilifanya huduma ya vijana kama mratibu wa Idara na sasa  ninakaimu nafasi ya  katibu  mkuu wa AICT dayosisi ya Shinyanga.

No photos uploaded yet