//social-icons

MPANGO MKAKATI WA AICT

Posted on 17/12/2018 at 11:05

LEO TAREHE 17/12/2018 HADI TAREHE 19/12/2018 UONGOZI WA KANISA LA AFRICA INLAND CHURCH TANZANIA UMEKUTANA MAKAO MAKUU YA KANISA MAKONGORO - MWANZA.

LENGO KUU NI KUWEKA MPANGO MKAKATI WA KANISA . KATIKA KONGAMANO HILI KUTAKUWA NA UWASILISHAJI MBALIMBALI.

K/KATIBU MKUU KIONGOZI WA KANISA MCHUNGAJI JOSEPHALES MTEBE ATAWASILISHA JUU YA MWELEKEO WA KANISA, WAWASILISHAJI WENGINE NI DR. GEORGE MLINGWA - UTAWALA BORA, MZEE SAMSON LUHIGO - KATIBA NA MZEE JERRY MASSAGA - FEDHA NA MIRADI.

MATARAJIO YA MPANGO MKAKATI HUU NI KUWEKA MISINGI ITAKAYOWEZESHA KANISA KUSONGA MBELE.

Imetolewa na Mwandishi, Mr Mtesigwa Mtebe.

Post Your Comment

You must sign in to comment.Click Here to Sign In or Here to Register