//social-icons

MAAZIMISHO YA MIAKA 21 YA DAYOSISI YA MWANZA photos

MAAZIMISHO YA MIAKA 21 YA DAYOSISI YA MWANZA
Maaskofu wa AICT, wakiwa kwenye maazimisho ya miaka 21 ya dayosisi ya Mwanza. Hii ni moja ya kwaya za AICT ikiimba kwenye maazimisho ya miaka 21 ya dayosisi ya Mwanza. Askofu John Kanoni Nkola akihubiri katika ibada ya jioni siku ya Jumamosi kwenye maazimisho ya miaka Wakiristo wa kanisa la AICT, wakiazimisha miaka 21 ya dayosisi ya Mwanza. Baadhi ya vijana wa kanisa la AICT, wakiazimisha miaka 21 ya dayosisi ya Mwanza. Wachungaji na viongozi wa kanisa la AICT, wakiwa kwenye jukwaa kuu katika maazimisho ya miaka 21 ya Baadhi ya wanakwaya wa kanisa la AICT, wakisubiria kuimba kwenye maazimisho ya miaka 21 ya dayosisi
Dayosisi ya Mwanza, imeazimisha miaka 21 tangu kuanzishwa kwake. Maazimisho haya yamefanyika katika kiwanja cha CCM kirumba, Kirumba Mwanza. Maazimisho haya yalihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kanisa wakiwemo maaskofu wa dayosisi zote, maaskofu waastafu, wachungaji na makatibu. Vikundi mbalimbali vya kwaya vilimuuimbia Bwana. Maadhimisho haya yalihudhuliwa na waumini kutoka sehemu mbali mbali.