//social-icons

SIKU NNE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA AICT DAYOSISI YA MARA NA UKEREWE TAR 06-09, NOVEMBER 2014. photos

SIKU NNE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA AICT DAYOSISI YA MARA NA UKEREWE TAR 06-09, NOVEMBER 2014.
AICT CVC kutoka Dar wakiimba kwenye maadhimisho ya miaka 20 ya AICT dayosisi ya Mara na Ukerewe Askofu mkuu wa AIC kenya Silas Yego akihubiri kwenye maadhimisho ya miaka 20 ya dayosisi ya Mara na Baadhi ya Maaskofu wa AIC wa kenya na tanzania wakiwa kwenye uwanja wa karume mjini musoma kwe shere Baadhi ya Maaskofu wa AICT na wageni waalikwa wakiwa jukwaa kuu kwenye maadhimisho ya miaka 20 ya da Baadhi ya Wakristo na viongozi wa umoja wa kinamama wakiwa wanaimba jukwaa kuu kwenye maadhimisho ya Maaskofu wa AICT wakiwa kwenye maazimisho ya miaka 20 ya dayosisi ya Mara na Ukerewe. Wakristo wa AICT dayosisi ya Mara na Ukerewe wakiwa kwenye maadhimisho ya miaka 20 ya dayosisi ya Ma
Kanisa la AICT Dayosisi ya Mara na Ukerewe lipo katika Maadhimisho ya kutimiza miaka 20 ya Dayosisi ya AICT MARA & UKERERWE tangu kuanzishwa Mwaka 1993. Sherehe hizo zinafanyika katika Uwanja wa Karume wa CCM Musoma. Mstari Mkuu katika maadhimisho haya ni kutoka katika kitabu cha Waefeso 1:3 ‘Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho, ndani yake Kristo’ Mgeni rasmi katika sherehe hizo ni Askofu Mkuu Silas Yego kutoka AIC Kenya anashirikiana na Maaskofu wote wa AIC Tanzania katika kuhubiri Neno la Mungu. Pia maadhimisho haya yameambatana na kwaya mbalimbali ambazo zinaimba na kumsifu Mungu.