//social-icons

KIKAO CHA MPANGO MKAKATI WA AICT photos

KIKAO CHA MPANGO MKAKATI WA AICT
No photos uploaded yet to this album

Kikao cha Mpango mkakati wa AICT kinafanyika kuanzia leo tarehe 17/12/2018 mpaka tarehe 19/12/2018. Dhumuni la kikao hiki ni kuweza kulipatia kanisa letu mpango mkakati wa kuliendesha kwa utaratibu bora na malengo yanayoendana KUTOKA NGAZI YA JUU MPAKA YA CHINI. Kikao hiki kinaongozwa na Askofu Mkuu Mussa Magwesela, kikijumuisha ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi Mch Josephales Mtebe, dayosisi zote pamoja na idara zote za AICT.