//social-icons

Harusi ya Mwinjilisti Charles Bundi photos

Harusi ya Mwinjilisti Charles Bundi
Maandalizi Maharusi wakiingia Ukumbi ukiwasubiri maharusi Mambo yakiendelea kupamba moto Chereko chereko Bibi harusi na msindikizaji wake no caption Askofu Magwesela na mama wakiwapongeza maharusi Wakati wa kutoa zawadi no caption Picha ya pamoja Pongezi zikiendelea Tendo la kukata keki Maharusi wakilishana keki no caption no caption no caption no caption no caption no caption
Harusi ya Mwinjilisti wa AICT Ndug Charles Bundi na binti Neema Magwesela waliofunga pingu za maisha tarehe 13/10/2013. Harusi lifanyika tabora mjini katika kanisa mama la dayosisi ya tabora Kitete. Harusi hii iliudhuliwa na viongozi mbalimbali wa AICT akiwemo Askofu Mkuu Silas Majaliwa Kezakubi pamoja na mama askofu, Askofu wa diosisi ya Geita Mussa Masanja Magwesela na mama Askofu na viongozi wengineo. Harusi hii iliudhuliwa na mamia wa waumini wa AICT kutoka sehemu mbalimbali wakiwemo ngugu za maharusi. Harusi hii ilifungishwa na Mch Alphonce Tambaru ambaye pia ni katibu wa dayosisi ya tabora na mchungaji wa pastorati ya Sikonge.